/* That's all, stop editing! Happy blogging. */

Njia rahisi ya kuzisoma meseji za WhatsApp za mpenzi wako bila yeye kujua




Suala la uaminifu katika uhusiano ni jambo la msingi sana kwani ni miongoni mwa nguzo imara katika kuwa na uhusiano imara kati yako na yule umpendae. Mara nyingi watu wanapokuwa na wapenzi wao huchukua simu zao na kuanza kuangalia alivyokuwa anawasiliana na watu mbalimbali.

Katika hali hiyo, anapokuta ujumbe ambapo unamfanya kuwa na wasiwasi basi ugomvi wake unaweza usizuilike kama utakuwa huna maelezo yenye kina ya kumtuliza.

Lakini mbali na kuwa unakagua simu yake mara kwa mara njia nyingine unayoweza kuitumia kuona jumbe zake anazotumiana na watu mbalimbali pengine bila ya yeye kujua ni rahisi. Unaweza ukatumia WhatsApp Web kufanikisha jambo hilo.

Ili kuweza kufanikisha hili unahitaji kompyuta (Laptop, desktop) au tablet pamoja na simu ya mpenzi wako au mtu mwingine unayotaka kuona jumbe zake za whatsapp.

Bonyeza Picha Hapo chini Kudownload App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kujiunga na Magroup ya WhatsApp Ya KIkubwa Utasoma Simulizi Tamu na Kujifunza Jinsi ya Kumridhisha Mpenzi wako Bonyeza Picha Chini au HAPA

Unachotakiwa kufanya ni kufungua tovuti ya web.whatsapp.com kwenye kifaa chako (kompyuta au tablet) na kisha utaona ‘QR Code’ kama viboksi boksi kwenye kifaa chako. Hatua inayofuata bonyeza ‘option’ kwenye simu unayotaka kuona jumbe zake kisha chagua ‘WhatsApp Web’ na ukimaliza hakikisha kiboksi kinachoonekana kwenye kioo cha simu yako unakielekeza kwenye ‘QR Code’ katika kompyuta yako (scan the code).



Ukimaliza hapo mawasiliano yote yaliyofanyika katika simu uliyotumia ku-‘scan’ sasa yataonekana kwenye kifaa chako.

Ili WhatsApp Web uweze kuendelea kufanyakazi, ni lazima simu inayotumika iwe imeunganishwa na mtandao (internet) wakati wote.

Je, mwenye simu anaweza kujua kama unanona meseji zake?

Mwenye simu ataweza kujua kuwa simu yake imeunganishwa na WhatsApp Web au kuna mtu amesoma meseji zake endapo atataka kuiunganisha kwenye kifaa kingine sababu itamtaka ajitoa (log out) katika kifaa cha awali, hivyo kama si yeye aliiunga atajua kuna mtu mwingine alikuwa akimfuatilia.

Pia, atajua kuna mtu anaona na kusoma meseji zake kama wewe utakuwa unazifungua kabla yeye hajazifungia. Hakikisha haufungia majibizano (conversation) kabla ya mwenye simu hajafungua kama kuna ujumbe mpya au kutuma ujumbe kwa rafiki yake.

Njia hii inaweza kufanyakazi hata kama mwenye simu atakuwa mbali, kikubwa tu awe ameunganishwa na mtandao kwenye simu yake.

Jinsi ya kuondoa.

Ukitaka kuondoa usione tena jumbe zake, kuna vinukta vitatu upande wa kushoto kwenye kifaa chako, ikobofya itakuletea uchaguzi wa kutoka (log out) na ukibofya hapo utakuwa umejiondoa kufuatilia jumbe zake.

Bonyeza Picha Hapo chini Kudownload App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kujiunga na Magroup ya WhatsApp Ya KIkubwa Utasoma Simulizi Tamu na Kujifunza Jinsi ya Kumridhisha Mpenzi wako Bonyeza Picha Chini au HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright BONGO CLASIC Published.. Blogger Templates
Back To Top