Rais Dkt Magufuli aliahidi kuwa katika serikali yake mtumishi akiharibu
atohamishwa, balada yake atasimamishwa kazi mara moja na uchunguzi
kufanyika dhidi yake endapo kuna haja ya kufanya hivyo. Hili
amelisimamia kwa vitendo baada ya kutengua agizo la waziri mkuu la
kuwahamisha wafanyakazi wa TRA walio haribu pale bandari na kuagiza
wahamishwe mikoani siku ya jana.
Source:ITV Tanzania