"Mhe Magufuli hayo unayo yafanya ndio
watanzania tumekuwa tukiyapigia kelele miaka yote na tukaonekana
wabaya. Tuko sambamba na wewe tunakuunga mkono safisha nchi.. usilegeze
upanga wako wala usijali vitisho vyao. Tunakuombea ushujaa zaidi na roho
ya Mungu iwe nawe"