HII NI KAULI YA REGINALD MENGI KUPITIA AKAUNTI YAKE YA TWITTER JUU YA MKUU WA MAJESHI TANZANIA
Amesema "muda Mfupi Uliopita Nimezungumza Na rafiki Na Ndugu Yangu Jenerali Mwamunyange
Ambaye yuko nje ya Nchi Kikazi... Ni mzima Wa afya" alisema Haya kwenye Ukurasa Wake
Rasmi(verify account) ya Twitter Leo