/* That's all, stop editing! Happy blogging. */

Watu Wa Tabora Wasema Walienda Kwenye Mkutano Wa Lowassa Kwa Wingi Kuangalia Helcopta(chopa) ya lowassa soma zaidi hapa=>



Chopa ya Mgombea Urais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku wananchi wa Nzega wakiishangilia, jana  Septemba 6, 2015. 

Umati wa wananchi wa Nzega, wakiwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Polisi, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.

Wasema Kivutio kikubwa kwao ilikuwa helcopter (chopa) ya Lowassa Kwasababu Walikuwa hawajawahi ona helcopter
Newer Posts Older Posts
© Copyright BONGO CLASIC Published.. Blogger Templates
Back To Top