

CHADEMA MEDIA @ChademaMedia
Wananchi wa jiji la Mwanza waliofika Gold Crest hotel kumlaki @edwardlowassatz kabla ya kuondoka jana asubuhi 16 Oktoba

Chadema News @ChademaNews Wananchi wa jiji la Mwanza wakiwa nje ya Hotel ya Gold Crest asubuhi ya leo kusubiri kumuona Lowassa


